Waziri wa Nishati Dkt. Medard
Kalemani, amewataka vigogo watatu wa Tanesco kuandika barua za kujiuzulu
iwapo umeme hautarudi katika hali ya kawaida mpaka leo jioni.
Aidha Waziri
Kalemani ametoa taarifa hiyo leo alipokwenda kutembelea na kukagua
mitambo ya kuzalisha umeme ya Kinyerezi Tabata, na kuwataja vigogo hao
kuwa ni Naibu Mkurugenzi wa uzalishaji, Naibu Mkurugenzi wa usafirishaji
Tanesco, na Meneja udhibiti mitambo wa Tanesco.
Sambamba na hilo Waziri Kalemani pia ameagiza kuondolewa kwa Meneja wa kuzalisha umeme kituo cha Kidatu, katika nafasi hiyo leo hii.
![]() | |
| Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kaleman |
Sambamba na hilo Waziri Kalemani pia ameagiza kuondolewa kwa Meneja wa kuzalisha umeme kituo cha Kidatu, katika nafasi hiyo leo hii.

No comments:
Post a Comment