ISSRADHANS: kitaifa

Umoja na uzalendo

Umoja na uzalendo

Hot

Post Top Ad

Your Ad Spot
Showing posts with label kitaifa. Show all posts
Showing posts with label kitaifa. Show all posts

Thursday, 26 October 2017

Umeme waweza ondoa 'vigogo' watatu leo

October 26, 2017 0


Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani, amewataka vigogo watatu wa Tanesco kuandika barua za kujiuzulu iwapo umeme hautarudi katika hali ya kawaida mpaka leo jioni.

Aidha Waziri Kalemani ametoa taarifa hiyo leo alipokwenda kutembelea na kukagua mitambo ya kuzalisha umeme ya Kinyerezi Tabata, na kuwataja vigogo hao kuwa ni Naibu Mkurugenzi wa uzalishaji, Naibu Mkurugenzi wa usafirishaji Tanesco, na Meneja udhibiti mitambo wa Tanesco.
Waziri wa Nishati   Dkt. Medard Kaleman 

Sambamba na hilo Waziri Kalemani pia ameagiza kuondolewa kwa Meneja wa kuzalisha umeme kituo cha Kidatu, katika nafasi hiyo leo hii.

Read More

Post Top Ad

Your Ad Spot