![]() |
Vanessa Hudgens |
MAREKANI,NEWYORK
MWANA
DADA
mrembo mwenye mvuto Nchini Marekani, Vanessa Hudgens pamoja na msanii maarufu
nchini humo , Jennifer Lopez, wapo
mbioni kuachia Filamu yao majira ya
baridi huko New York.
Vanessa mwenye umri wa miaka 28 akiwa na Lopez ,
wameonekana kwenye baadhi ya vipande (Teaser) baada ya filamu hiyo kuvuja
walipokuwa wakitambulisha jina la filamu hiyo jumatanu ya Desemba 4, 2017.
Jennifer Lopez, |
Pamoja na kuwa na umri wa miaka 48, Lopez amefanya
vizuri sana kwenye filamu hiyo ambapo alionekana ni mtu mwenye sura ya furaha baada
ya kukamilisha filamu hiyo huku akisherekea siku ya kutimiza miaka 9 kwa
mapacha wake mwishoni mwa wiki hii.
Filamu hiyo inayojulikana kwa jina la
Comedy ya kimapenzi , utashuhudia
Lopez akichukua tabia ya Maya
ambaye ameigiza kama mfanyakazi wa
kuimarisha maisha yake kwa matumaini ya
kuthibitisha Madison Avenue kuwa barabara ya mitaani inayoweza kuwa ya thamani kama shahada ya chuo kikuu .
No comments:
Post a Comment