USAJILI TIMU ZA WANAWAKE WATANGAZWA - ISSRADHANS

Umoja na uzalendo

Umoja na uzalendo

Hot

Post Top Ad

Your Ad Spot

Wednesday, 15 November 2017

USAJILI TIMU ZA WANAWAKE WATANGAZWA

logo ligi kuu wa wanawake Tanzania          


NA ISSA RAMADHANI,

WAKATI Ligi  Kuu  ya Wanawake Tanzania Bara, ikitarajiwa kuanza Novemba 26, 2017 katika vituo viwili vya Dar es Salaam na Arusha, tayari usajili wa msimu kwa timu zote 12, umekamilika.

Kwa mujibu wa kalenda ya mashindano, usajili ulipangwa ufanyike kati ya Oktoba 25  na Novemba 12, mwaka huu na kwamba kuanzia  Novemba 13 hadi 17, mwaka huu ni kipindi cha pingamizi.

Novemba 18, mwaka huu kutakuwa na kikao cha  Kamati ya Sheria kabla ya Novemba 20, mwaka huu kutoa leseni za wachezaji.
Novemba 24, mwaka huu kutakuwa na Semina ya Viongozi wa klabu, Waamuzi na Makamishna jijini Dar es Salaam.

Ligi  hatua ya makundi  kuanza  Novemba 26, mwaka huu ukomo utakuwa Desemba 9, mwaka huu Ligi Kuu na kupata jumla ya timu nane ambazo zitacheza ligi hatua ya Nane  Bora ‘Super 8’ itaanza Desemba 20, mwaka huu. Ligi inatarajiwa kumalizika Machi 28, mwakani.

Ambapo Timu zilizosajili kutoka Kundi A  ziko Dar es Salaam ni Simba Queens ya jijini Dar es Salaam iliyopanda daraja msimu huu. Timu nyingine kwenye kundi hilo ni Mburahati Queens, JKT Queens, Evergreen zote za Dar es Salaam pamoja na timu za Fair Play ya Tanga na mabingwa watetezi – Mlandizi Queens.
Kundi B litakuwa na timu za Alliance ya Mwanza ambayo imepanda kutoka kituo cha Dodoma. Timu nyingine ni Marsh Academy pia ya Mwanza; Panama ya Iringa; Kigoma Sisterz ya Kigoma, Baobab ya Dodoma na Majengo Queens ya Singida.

NEEMA CHARLES  CHIBARA
MBURAHATI QUEENS
MWANTUMU R. SENG’ENGA
MBURAHATI QUEENS
ZUHURA HAMIS
MBURAHATI QUEENS
MARIA ATHUNASS BAYO
MBURAHATI QUEENS
SARAH SHAMTE KATEMBO
MBURAHATI QUEENS
NEEMA JOBU PAUL
MBURAHATI QUEENS
BAHATI GEORGE
MBURAHATI QUEENS
ANNA ANDREW
MBURAHATI QUEENS
BATURI MOHAMEDI
MBURAHATI QUEENS
ANITA MPENDA THOMAS
MBURAHATI QUEENS
FATUMA S. GOTAGOTA
MBURAHATI QUEENS
JANETH CHRISTOPHER
MBURAHATI QUEENS
SHEHATI JUMA MOHAMEDI
MBURAHATI QUEENS
MWANVITA MUBA
MBURAHATI QUEENS
AISHA JUMA
MBURAHATI QUEENS
IRENE PHILLIP MATOWO
MBURAHATI QUEENS
MWAIDI H. KONOGOA
MBURAHATI QUEENS
TWIHISA S.BAKAKI
MBURAHATI QUEENS
TAUSI S.ABDALLAH
MBURAHATI QUEENS
SILVIA T.MWACHA
MBURAHATI QUEENS
MARIAM AZIZ
MBURAHATI QUEENS
FATUMA IDDY
MBURAHATI QUEENS


JULITA AMINIEL SINGANO
SIMBA QUEENS
ZAINABU RASHID PAZZI
SIMBA QUEENS
JACKLINE J.SOLOMONI
SIMBA QUEENS
NDINAGWE A.MWAIPOPO
SIMBA QUEENS
MILLAR  LINUS SOLLY
SIMBA QUEENS
EVA CHARLES BOLILOMO
SIMBA QUEENS
AMINA M. RAMADHANI
SIMBA QUEENS
DOTTO S.MAKUNJA
SIMBA QUEENS
ZAINABU S. KAMBI
SIMBA QUEENS
MADELIN S.OTIONO
SIMBA QUEENS
THERESIA J.JOAKIM
SIMBA QUEENS
DIANA H. OMARY
SIMBA QUEENS
SIKUDHANI H. MOHAMEDI
SIMBA QUEENS
RAHMA S.NASSOR
SIMBA QUEENS
LIZZY JOHN KANAKAMUFUMO
SIMBA QUEENS
HUSNA M. NANGOIGA
SIMBA QUEENS
FARAJA A. KIMLOLA
SIMBA QUEENS
IMELDA A.MALILIMA
SIMBA QUEENS
MADELINE E. AUGUSTINO
SIMBA QUEENS
JOYCE SAMWEL SHAGA
SIMBA QUEENS
RUKHIA H.SALUMU
SIMBA QUEENS
HALIMA HAMDANI MCHENI
SIMBA QUEENS
GRACE TONNY
SIMBA QUEENS


FADHIRA HAMAD I YUSUPH
MLANDIZI QUEENS
ZAINABU MOHAMED ALLY
MLANDIZI QUEENS
VERONIKA GABRIEL MAPUNDA
MLANDIZI QUEENS
AQUILLAGASPARY FRANCIS
MLANDIZI QUEENS
SEBIA GAVUMA ALBERT
MLANDIZI QUEENS
NISSA KARIM KAMALA
MLANDIZI QUEENS
REHEMA JULIUS BUTEME
MLANDIZI QUEENS
PHILOMENA D. FARAHANI
MLANDIZI QUEENS
DIANA WILLIAM MNALY
MLANDIZI QUEENS
ZAINABU M.MLENDA
MLANDIZI QUEENS
SHAMUMA H. DADI
MLANDIZI QUEENS
BATURI M. HASSAN
MLANDIZI QUEENS
HADIJA ALLY MOHAMED
MLANDIZI QUEENS
WEMA RICHARD MAILE
MLANDIZI QUEENS
MWANAHAMIS O.SHURUA
MLANDIZI QUEENS
SHAMILA N. MAKUNGURU
MLANDIZI QUEENS
JAMILA K. HASSAN
MLANDIZI QUEENS
ZAINABU M.ABDALLAH
MLANDIZI QUEENS
MAIMUNA A.MTOLO
MLANDIZI QUEENS
KAZIJA K. NDEMBO
MLANDIZI QUEENS


FATUMA ISSA MAINYO
EVERGREEN QUEENS
CHRIDSTINA DAUD
EVERGREEN QUEENS
FABIOLA FABIANI
EVERGREEN QUEENS
ELIZABETH DISMAS
EVERGREEN QUEENS
SHAMIM ALLY
EVERGREEN QUEENS
BETINA ANTONY
EVERGREEN QUEENS
RUKIA HUSSEIN
EVERGREEN QUEENS
AIDA TOMY FUKUMULA
EVERGREEN QUEENS
MIRIAM PETER
EVERGREEN QUEENS
HAWA ALLY
EVERGREEN QUEENS
PROTASIA PIUS
EVERGREEN QUEENS
FATUMA SALUM
EVERGREEN QUEENS
MONICA MFINANGA
EVERGREEN QUEENS
SAKINA SAIDHATUJUANI OBADIA
EVERGREEN QUEENS
WINFRIDA PROSPER
EVERGREEN QUEENS
YUSTINA MARTIN
EVERGREEN QUEENS
AGATHA JOEL
EVERGREEN QUEENS
KIJA CASSIAN
EVERGREEN QUEENS
SADA RAMADHANI
EVERGREEN QUEENS
SADA MESHACK
EVERGREEN QUEENS
STELLA WILBERT
EVERGREEN QUEENS
LINDA SHILLA
EVERGREEN QUEENS
ASHA D.JUMA
EVERGREEN QUEENS
FATMAH NAHIMANA
EVERGREEN QUEENS


JOHARI SHABAN HAMIS
JKT QUEENS
ASHA RASHID MJANGWA
JKT QUEENS
BELINA JULIUS NYAMWIHULA
JKT QUEENS
ANNA HEBRONI MWAISYURA
JKT QUEENS
FATMA MUSTAPHA SWALEHE
JKT QUEENS
MARYCABRIEL MASATU
JKT QUEENS
ISABELA JOHN KIBWALE
JKT QUEENS
NIMAIMUNA HAMIS KAIMU
JKT QUEENS
ELIZABETH JULIUS KADONYA
JKT QUEENS
FATUMA OMARY JAWADU
JKT QUEENS
ANASTAZIA ANTONY KATUNZI
JKT QUEENS
STUMAI ABDALLAH ATHMAN
JKT QUEENS
FATUMA KHATIBU SALUMU
JKT QUEENS
HAPPINESS HEZRON MWAIPAJA
JKT QUEENS
NAJIATH IDRISA ABBAS
JKT QUEENS
DONISIA DANIEL MINJA
JKT QUEENS
NEEMA JACOB KUGA
JKT QUEENS
ESTHER FREDY CHABURUMA
JKT QUEENS
AMISA ATHMAN HUSSEIN
JKT QUEENS
FUMUKAZI ALLY NGURUWE
JKT QUEENS
ZENA HAMIS RASHID
JKT QUEENS
FRIDIANA JOHN DAUDI
JKT QUEENS
ETOO KHAMIS MLENZI
JKT QUEENS
FATUMA ISSA SELEMAN
JKT QUEENS
FATUMA BASHIRI MAKUSANA
JKT QUEENS


CHRISTINA FRANCIS PANCRAS
FAIR PLAY QUEENS
CATHERINE NATHAELI SHEMKUA
FAIR PLAY QUEENS
HAMIDA HASSAN SELEMAN
FAIR PLAY QUEENS
REBEKA DONARD FRANK
FAIR PLAY QUEENS
VIOLETH VALERIAN MLAY
FAIR PLAY QUEENS
MWANAISHA MUSSA SEIF
FAIR PLAY QUEENS
MGENI RAMADHANI KISODA
FAIR PLAY QUEENS
ROSE PAULO MRIMI
FAIR PLAY QUEENS
LUCY GILBERT KIFWEWE
FAIR PLAY QUEENS
IRINE GEORGE MNGUBULA
FAIR PLAY QUEENS
FATUMA YASSI MGHAMBA
FAIR PLAY QUEENS
RUKIA MAULID DAFTAR
FAIR PLAY QUEENS
HUSNA ZUBERI MTUNDA
FAIR PLAY QUEENS
ZAHRA IDDY MWIZU
FAIR PLAY QUEENS
ASHA HSBAN HAMZA
FAIR PLAY QUEENS
JOYCE FARAJA JOEL
FAIR PLAY QUEENS
SEMEN ABEID HUSSEIN
FAIR PLAY QUEENS
EMIL ISAYA MDIMU
FAIR PLAY QUEENS
KHADIJA THADEO MWITA
FAIR PLAY QUEENS
ANASTAZIA ALPHONCE MWACHA
FAIR PLAY QUEENS
VIOLETH THADEO MACHELA
FAIR PLAY QUEENS


SABAHI HASHIM YUSUF
SISITERZ FOOTBALL CLUB
REHEMA ELLY PINDA
SISITERZ FOOTBALL CLUB
SWAUMU SALUM JONGO
SISITERZ FOOTBALL CLUB
AMINA RAMADHAN I HEMEDY
SISITERZ FOOTBALL CLUB
ZUWENA AZIZ TEMBELENI
SISITERZ FOOTBALL CLUB
REHEMA ABDUL YAHAYA
SISITERZ FOOTBALL CLUB
IRENE ELIAS CHARLES
SISITERZ FOOTBALL CLUB
SHAN SULTAN MOHAMED
SISITERZ FOOTBALL CLUB
GELWA YONA LUGOMBA
SISITERZ FOOTBALL CLUB
VIOLETH NICHOLAUS
SISITERZ FOOTBALL CLUB
SOPHIA MWASIKILI
SISITERZ FOOTBALL CLUB
OWUOR LILY AWOUR
SISITERZ FOOTBALL CLUB
TABAKA CHACHA
SISITERZ FOOTBALL CLUB
MARIAM SAID SESEME
SISITERZ FOOTBALL CLUB
JANE CLOUD LUCAS
SISITERZ FOOTBALL CLUB
ZUBEDA MOHAMED NGUNDA
SISITERZ FOOTBALL CLUB
AMINA ALLY SHABAN
SISITERZ FOOTBALL CLUB
RUKIA ANAFI DAUDI
SISITERZ FOOTBALL CLUB
VUMILIA SELEMAN MAARIFA
SISITERZ FOOTBALL CLUB
VENERANDA LUKANUS MBANO
SISITERZ FOOTBALL CLUB
MWASITI JUMA SELEMAN I
SISITERZ FOOTBALL CLUB
MWAJUMA MAHAMOUD MKALAH
SISITERZ FOOTBALL CLUB
OPPA CLEMENT SANGA
SISITERZ FOOTBALL CLUB
MUKAMANA CLEMENTINE
SISITERZ FOOTBALL CLUB


ZABOBU YUSUPH ALLY
ALLIANCE GIRLS
MARIAM MWITA BIGANIO
ALLIANCE GIRLS
ENEKIA KASSONGO YONA
ALLIANCE GIRLS
ELIZABETH EDWARD NASHON
ALLIANCE GIRLS
SARAH JOEL MARINGO
ALLIANCE GIRLS
ESTHER MABANZA MPINGI
ALLIANCE GIRLS
SUZANA ADAM MANUMBU
ALLIANCE GIRLS
MWANVITA JAFARI TABAGO
ALLIANCE GIRLS
MAOMBI BENEDICTOR MATHIAS
ALLIANCE GIRLS
GRACE EDWARD NASHON
ALLIANCE GIRLS
ANNASTAZIA BALTAZAR LAZARO
ALLIANCE GIRLS
AISHA JUMA MOHAMED
ALLIANCE GIRLS
ALIYA FIKIRI SALUM
ALLIANCE GIRLS
JANETH MEDSON MATULANGA
ALLIANCE GIRLS
HASNUT LUNUS UBAMBA
ALLIANCE GIRLS
SHARIFA HAMIDU LUBANDAMO
ALLIANCE GIRLS
ANGEL SIMON MWAMPASHI
ALLIANCE GIRLS
KHADIJA HUSSEIN SHABAN
ALLIANCE GIRLS
RAHABU JOSHUA MUFUMYA
ALLIANCE GIRLS
HAPPINESS ALPHONCE
ALLIANCE GIRLS
JESCA JOSEPHAT LUKANAZYA
ALLIANCE GIRLS
HAPPINESS GERVAS MASUMBUKO
ALLIANCE GIRLS
HAPPINESS  JENRICO PIUS
ALLIANCE GIRLS
PRISCA BIHEMO COSTANTINE
ALLIANCE GIRLS
BEATRICE LISIASI KABUJANJA
ALLIANCE GIRLS
JOYCE MICHAEL MSHAYO
ALLIANCE GIRLS
ESTER DANIEL NATHAEL
ALLIANCE GIRLS
LEVANIA ERASTO DISMAS
ALLIANCE GIRLS
SAFINA ALLY
ALLIANCE GIRLS
PHANI ABDUL ZIGIGNA
ALLIANCE GIRLS


JANETH SHIJA SIMBA
MARSH FC
UNICE FRANCIS BRITISH
MARSH FC
CHRISTINA COSMAS  PHILIPO
MARSH FC
ANITHA CHARLES BAHANGSA
MARSH FC
ARAFA ABDULY OMARY
MARSH FC
ARAFA YAHYA RAMADHAN
MARSH FC
SILVIA DAUDI LIKECHA
MARSH FC
NIWAEL KHALFAN MAKURUTA
MARSH FC
DACLINA FELIX MWESIGA
MARSH FC
HAPPYNESS ERNEST KALELA
MARSH FC
VERONICA JOHN MATTO
MARSH FC
ZAINABU HASSAN KIENJE
MARSH FC
MCHINA LUCAS KALOLI
MARSH FC
SAIDA MIRASI MKAMBALA
MARSH FC
HUSNA AYOUB MPANJA
MARSH FC
CHRISTER JOHN BAHERA
MARSH FC
JAYLES CHRISTOPHER
MARSH FC
LUSE LANDANI
MARSH FC
ASPHATY J.KASINDO
MARSH FC
ELIETH E. SHIJA
MARSH FC
MONICA H. CONRAD
MARSH FC
ROSSY D.MPOMA
MARSH FC
SAMIA S.SHESHETA
MARSH FC
LOYCE M. SOSPETER
MARSH FC
ELIETH S. RWECHUNGULA
MARSH FC
WISALA J. PETRO
MARSH FC
NEEMA P. KINIGA
MARSH FC


KITENGE KABEMBA
PANAMA FC
LUCY SABAS MREMA
PANAMA FC
HANIFA IDDY MOHAMED
PANAMA FC
ASHA ABDUL MALAMWA
PANAMA FC
NASMA RWAMBO SAID
PANAMA FC
HALIMA KAWAIDA MWAIGOMOLE
PANAMA FC
ZAITUNI MUSSA RASHID
PANAMA FC
DIANA LUCAS MSEWA
PANAMA FC
MARIANA KENETH MWASENGA
PANAMA FC
SABINA EMANUEL MBUGA
PANAMA FC
NASMA KHALID MANDUTA
PANAMA FC
HAFSA GODWIN MWAKAPILA
PANAMA FC
MARTHA MEJA MWASAMALE
PANAMA FC
ASTERIA PASCHAL KISOKA
PANAMA FC
NEEMA ISRAELI  NDUYE
PANAMA FC
MWANAIDI NASSOR MOHAMED
PANAMA FC
JOHARI JOHN MUSIGALA
PANAMA FC
JENIPHAR EDWARD MWAPONILE
PANAMA FC
MARIAM SAID NKUMBA
PANAMA FC
JOVITA YAHYA MPULULU
PANAMA FC
YUSLA GANOLO KASENEGALA
PANAMA FC
GLADNESS ERNED KYONDO
PANAMA FC
FRANCISCA SALVATORY FWENI
PANAMA FC


EDDIE MWELA
MAJENGO WOMEN FC
AMINA MUSSA
MAJENGO WOMEN FC
MARIAM DICKSON
MAJENGO WOMEN FC
RUTH DANIEL
MAJENGO WOMEN FC
ALICIA KAZINDUKI
MAJENGO WOMEN FC
ADIJA HAMIS
MAJENGO WOMEN FC
AGRIPINA EDWARD
MAJENGO WOMEN FC
MWANAIDI JUMA
MAJENGO WOMEN FC
BATISEBA GODWIN
MAJENGO WOMEN FC
FATUMA NYEMBO
MAJENGO WOMEN FC
ASIA ABDALLAH
MAJENGO WOMEN FC
SHUFAA MUHIDINI
MAJENGO WOMEN FC
AGNES ELISHA
MAJENGO WOMEN FC
MARIAM MZUGA
MAJENGO WOMEN FC
ELIZBETH YOHANA
MAJENGO WOMEN FC
FURAHA TADEO
MAJENGO WOMEN FC
IRENE CHITANDA
MAJENGO WOMEN FC
SIFIA JABIR
MAJENGO WOMEN FC
AISHA HAMIS
MAJENGO WOMEN FC
SHUFAA ISSA
MAJENGO WOMEN FC
FAIDHA ISMAIL
MAJENGO WOMEN FC
HAWA ATHMANI
MAJENGO WOMEN FC
DOROTHEA BENARD
MAJENGO WOMEN FC
PAULINA SEVERINE
MAJENGO WOMEN FC


BEATRICE OTHMAN ABDALLAH
BAOBAB
GRACE SAMKI MCHUTA
BAOBAB
ESTER RELATUS MAYALA
BAOBAB
JANET JOHN PETRO
BAOBAB
MARIAM MAMAUNA KIMBUYA
BAOBAB
JOSEPHINE JULIUS NYIRENDA
BAOBAB
ANITA ANTONY KISOMA
BAOBAB
JACKLINE BARIKI RINGO
BAOBAB
SUZAN CARLOS KOMBA
BAOBAB
WARDA SALUM MFAYEKA
BAOBAB
MWANTUM OMARY SALUM
BAOBAB
SAMILA ALLY SAID
BAOBAB
FATUMA ABDALLAH SAID
BAOBAB
ALEXSHA  MALICHA ITALE
BAOBAB
EVER MICHAEL KOMBO
BAOBAB
SARAH SALAGA MBULANZU
BAOBAB
ASIA JUMA TIAZO
BAOBAB
KAPANGALA JOHN SHIKAMKONO
BAOBAB
MARTHA JOHN ADRIAN
BAOBAB
SANDRA MTHEW RAMSEY
BAOBAB
HAWA SELEMA FARAHANI
BAOBAB
KALUNDE JUMA ATHMAN
BAOBAB
SOPHIA SIMON NADE
BAOBAB
AGNES ELISH PALANJO
BAOBAB
WADRAT ABDUL
BAOBAB

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot