NA
ISSA RAMADHANI,
KARIBU
mwanandoa
mwenzangu katika safu tubadilishane
mawazo na kujuzana mambo kadhaa kwa wanandoa au mchumba. Leo tutazungumzia
Chanzo au sababu zinazopelekea ndoa za
vijana(mume na mke) wengi kutodumu
kimapenzi muda mrefu.
Kadri siku hadi siku, wanandoa au vijana wengi wamekuwa wakioa na kuachana swali je
Sababu ni nii? na hali ya kuwa wameridhia kuwa pamoja katika mahusiano yao.
Ndoa
za wazee wa zaamani zilidumu sana hadi wakuwa
wazee wako pamoja, na wana wajukuu ,vitukuu na wamepitia vipindi vigumu
sana katika Ndoa yao.Hizi na baadhi ya Sababu Ndoa za vijana wa sasa kutodumu.
kutojuana
kiundani vizuri:
Kutokupata
muda wa kuelewana vizuri baadhi ya vijana sasa hukukurupuka kwa kumpenda msichana kukutana
naye baa,kituo cha dalaldala kisa mrembo na kupendana , bila kumjua mpenzi wako
background yake vizuri tabia, tamaduni
na familia yao mmke au mme.Ili kukusaidia kufanya uamuzi wa kuoa au kuoana.
Hali hii husababisha vijana ndoa kuvunjika mara baada ya kubaini tabia halisi
muda mfupi baada ya kuoa au kuoana mfana mkorofi, mchoyo wali akuonyesha hii
tabia na mambo mengine.
Suala
la Uvumilivu
Mapenzi yanahitaji wote muwe na uvumilivu mme na mke
katika changamoto mnazozipitia kipindi cha ndoa kwa kushirikishana na
kushauriana ili kubaini namna ya kutatua, mfano uchumi umeyumba mmoja hapa
anakuwa si mvumilivu hutoa lawama tu. Muda mwingine hawasemeshani ndani hata
kitu kidogo cha kujadili na kusameheani mmoja hataki.
Kuwa
na Tamaa ,uvumilivu:
Kutaka vitu vizuri hali ya kuwa ndani mme au
mke mwjiriwa kuna badhi ya mambo
nyumbani hayaendi sawa hata akimshirikisha mke hana ushirikianao ,ila ana tabia
ya kupenda vitu vizuri ni rahisi
kuchepuka nje ya ndoa. Kumpenda mtu kwa sababu ya kitu
alichonanacho mtu huchangia sana kuvunjika kwa ndoa.Kwa mfano mwanadada
anayempenda mwanaume kwa sababu ya mali alizonazo,siku mwanaume akifilisika ni
dhahiri shahiri kuwa ndoa itakuwa mashakani.
Kutokuwajibika
na usili.
Katika maisha ya ndoa kila mmoja mme na mke wanapaswa kuwajibika
katika utafutaji, mapenzi ya dhati na kusaidia baadhi ya majukumu ili kuwa na
furaha.Ikitokea yale mapenzi au upendo kipindi cha uchumba hamna au yamepungua
na kila mme akioji ugomvi, husababisha
ndoa kuwa hatiani.Hata hivyo usili wa kuficha mambo.
Mapenzi
ya ulaghai na usaliti:
Kuwepo na mapenzi ya uongo ndani ya ndoa tabia hii
imekuwa fashioni kwa wanandoa wa sasa,Mme kuwa mahusiano ya kimapenzi nje na
mwanake mwingine,bila mkewe kujua, hali kadhalika mke naye ana mtu au mtoto,
hali ya kuwa ameolewa na amezaandan ya ndoa. Kifupi ni tabia hatarishi sana mume
akifahamu huwa ugomvi mkubwa.
kutaka
kumbadilisha:
kumbadilisha mpenzi wako kuwa haraka mfano
muonekano, marafiki na makundi yake zamani
kumtaka achane nayo. Mme na mke mnapaswa kujadili tabia na kuwa na malengo
katika mapenzi au ndoa yenu. Hapa huwa kuna tatizo sana kwani mwanaume atataka
afanye anachokitaka yeye na mwanamke afuate anachoambiwa yani aishi kwa kadiri
ya atakavyo mwanaume na wakati huohuo mwanamke naye anataka mwanaume aishi kwa
kadiri ya yeye anavyotaka.Hali hii husababisha mgongano ndani ya ndoa na mwisho
wake huwa ni kuachana.
Misigi ya ndoa na malezi;
Ndoa za leo hii vijana wengi hukurupuka kfanya mamuzi pindi migogoro inapo
jitokeza, bila kushirikisha wazee kwa kuomba ushauri au wahenga waliobarik ndoa
yao. Katika kesi ya malezi kila mmoja amelelewa kivyake , shida njia ipi sahihi
ya kuishi na kumbadili ili mpenzi wangu afanane na mimi mfano ache umalaya,
maadili mema na kupenda ndugu zangu na mawasiliano kukatika.
Ushauri
Mahusiano
ya uchumba yanapokuwa yamechukua muda mfupi chini ya mwaka mmoja ni hatari
katika uhai wa ndoa, kwa kuwa na migogoro mngi ambayo huenda kam wangekuwa na
muda wa kutosha miaka miwili,kuwa na mawasiliano,Inasaidia kufahamia vizuri
mambo mengi hivyo huenda matatizo yasingejitokeza. Tafiti zinaonyesha wachumba
wengi sasa huchua muda mfupi kwenye
uchumba.
No comments:
Post a Comment