MWENYEKITI wa kamati ya Ufundi Stephen Mapunda kutoka timu ya Majimaji
akimkabidhi tuzo maalum kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano
na Mazingira, January Makamba kwa kutambua mchango wake katika kukuza timu yao
na kuwasaidia kupata ufadhili. Wengine ni Mwenyekiti Stephen Ngonyani na Shabiki wa timu hiyo Vian
Nchimbi.
Viongozi wa timu ya Majimaji wakiwa
katika picha ya pamoja na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na
Mazingira, January Makamba mara baada ya kukabidhi tuzo maalum kwa Waziri huyo
kwa kutambua mchango wake katika kukuza timu yao na kuwasaidia kupata ufadhili.
Kushoto ni Mwenyekiti wa Timu hiyo Stephen Ngonyani, Mwenyekiti Kamati ya Ufundi
, Stephen Mapunda na shabiki wa timu hiyo Vian Nchimbi.
Viongozi wa Timu ya Majimaji wakiwa Ofisini kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, January Makamba.
No comments:
Post a Comment