NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi,
Mhandisi Hamad Masauni akizungumza katika mkutano na wakimbizi wa Burundi
wanaoishi kambi ya Nyarugusu, iliyoko wilayani Kasulu, mkoani Kigoma. Katika
ziara hiyo iliyokuwa pia na ujumbe kutoka Serikali ya Burundi, ukiongozwa na
Waziri wa Mambo yaNdani na Mafunzo ya Uzalendo, Pascal Barandagiye, lengo ikiwa
kukagua zoezi la urejeshaji wakimbizi hao makwao linavyoendelea.
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Kanali
Marco Gaguti, akizungumza katika mkutano na wakimbizi wa Burundi wanaoishi
kambi ya Nyarugusu, iliyoko wilayani Kasulu, mkoani Kigoma. Katika ziara hiyo
iliyokuwa pia na ujumbe kutoka Serikali ya Burundi, ukiongozwa na Waziri wa Mambo
yaNdani na Mafunzo ya Uzalendo,Pascal Barandagiye, lengo ikiwa kukagua zoezi la
urejeshaji wakimbizi hao makwao linavyoendelea.
Wakimbizi wa Burundi
wanaoishi katika kambi ya Nyarugusu, wilayani Kasulu, mkoani Kigoma
wakimsikiliza Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhandisi Hamad Masauni
(hayupo pichani) katika mkutano na wakimbizi hao, Katika ziara hiyo iliyokuwa
pia na ujumbe kutoka Serikali ya Burundi, ukiongozwa na Waziri wa Mambo ya
Ndani na Mafunzo ya Uzalendo,Pascal Barandagiye, lengo ikiwa kukagua zoezi la
urejeshaji wakimbizi hao makwao linavyoendelea.
Mkimbizi wa Burundi anayeishi kambi ya
Nyarugusu, iliyoko wilayani Kasulu, mkoani Kigoma Paul Ndalaizye., akitoa maoni
kwa niaba ya wakimbizi wanaoishi katika kambi hiyo wakati wa Mkutano
uliohutubiwa na NaibuWaziri wa Mambo ya Ndani ya nchi,Mhandisi Hamad Masauni na
Waziri wa Mambo yaNdani na Mafunzo ya Uzalendo,Pascal Barandagiye(hawapo
pichani), lengo ikiwa kukagua zoezi la urejeshaji wakimbizi hao makwao
linavyoendelea.
No comments:
Post a Comment