London,Uingereza
KOCHA wa zamani wa Klabu ya Everton na Manchester United, David
Moyes alitambulishwa jana katika klabu na yake mpya, West Ham United bmele ya wachezaji pamoja mashabiki na moja
kwa moja kuanza kazi kuandaa kikosi kwa ajili ya ligi kuu ya Epl.
Vile vile Mwalimu huyo mwenye umri wa miaka 54 ambaye amechukua nafasi ya Slaven Bilic, aliyefukuzwa juzi na Klabu hiyo baada ya kipigo cha 4-1 cha Liverpool mwishoni mwa wiki.
kocha mkuu wa West Ham United, David Moyes (pichani). |
Hata hivyo Moyes na wachezaji wake walionekana wakiwa vizuri na wenye furaha mazoezini katika ngome ya timu hiyo ya Rush Green mjini London. Wakijifua tayari kujiandaa .
Amesema hayo mapema tu ni baada ya kutambulishwa na uongozi wa West Ham united,pia Mscotland huyo akawaomba mashabiki kuisapoti timu
No comments:
Post a Comment