Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (wapili kulia),akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Mara,Adam Malima (watatu kulia) na viongozi wengine, baada ya kukagua mradi wa Ujenzi wa Nyumba zinazooenekana pichani za askari polisi na familia zao ulioko kata ya Mukonde, Mkoani Mara, kulia ni Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Tarime/Rorya, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Henry Mwaibambe. Nyumba hizo ziko katika hatua ya mwisho kukamilika ili ziweze kumaliza changamoto za makazi kwa askari hao.
Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto), akiongozana
na Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima (katikati) na Mkuu wa wilaya ya Musoma,
Dk. Vicent Naano, kukagua nyumba za askari polisi na familia zao zilizopo kata
ya Mukonde, Mkoani Mara, Nyumba hizo ziko katika hatua ya mwisho kukamilika ili
ziweze kumaliza changamoto za makazi kwa askari.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi
Hamad Masauni (kushoto), akizungumza na Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya
Tarime/Rorya, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Henry Mwaibambe, baada ya kukagua
nyumba za askari polisi na familia zao zilizopo kata ya Mukonde, Mkoani
Mara,wengine ni Mkuu wa Mkoa wa Mara ,Adam Malima (aliyevaa miwani) na Mkuu wa
wilaya ya Musoma, Dk. Vicent Naano.Nyumba hizo ziko katika hatua ya mwisho
kukamilika ili ziweze kumaliza changamoto za makazi kwa askari.
Mkuu
wa Mkoa wa Mara, Adam Malima (aliyevaa miwani) na Mkuu wa wilaya ya Musoma, Dk.
Vicent Naano. Nyumba hizo ziko katika hatua ya mwisho kukamilika ili ziweze
kumaliza changamoto za makazi kwa askari.
Familia za askari wanaotarajiwa kuhamia katika nyumba mpya
zilizopo katika eneo la Mukonde, wakimsikiliza Naibu Waziri Mambo ya Ndani ya
Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, wakati alipotembelea kuona maendeleo ya mradi huo
ikiwa ni ziara yake ya kikazi mkoani Mara. Nyumba hizo ziko katika hatua ya
mwisho kukamilika ili ziweze kumaliza changamoto za makazi kwa askari.Picha na
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
MARA.
No comments:
Post a Comment