URUSI,Moscow
WANARIADHA wengine watano wa Urusi wamefungiwa kushiriki
michuano ya kimataifa ya Olimpiki katika maisha yao yote ya mchezo huu baada ya kamati ya kimataifa ya
Olimpiki kuwabaini kutumia dawa zilizokataliwa michezoni.
 |
|
Miongoni
mwa wanariadha waliofungiwa
|
Wanariadha hao ni Sergei Chudinov, Aleksei Negodailo, Dmitry
Trunenkov, Yana Romanova na Olga Vilukhina ndio waliokumbwa na adhabu hiyo.ni
baada ya kamati kujilidhisha.
Upande wa IOC inasema kufungiwa huko
kunatokana na kamati ya 2016 ya McLaren iliyoonyesha watumiaji wa dawa hizo. Kwa
warasia hao.
SIKU ya Jumatatu IOC ilitangaza adhabu hiyo na kuonya kuwa bado itaendelea kwa wale wote wanamichezo watakaojaribu kutumia dawa hizo. Za kuongeza
nguvu zilizopigw marufuku.
No comments:
Post a Comment