IGP Sirro Arejea Bandarini Kukagua Magari ya Polisi - ISSRADHANS

Umoja na uzalendo

Umoja na uzalendo

Hot

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, 28 November 2017

IGP Sirro Arejea Bandarini Kukagua Magari ya Polisi


IGP Sirro akifanya ziara bandarini.

MKUU wa Jeshi la Polisi Tanznia, IGP Simon Nyakoro Sirro, amefanya ziara katika Bandari ya Dar es Salaam, ili kufanya ukaguzi wa magari 31 ya Jeshi hilo ambayo Rais  wa  nchi hiyo DK John Magufuli,ambapo  alielekeza kukabidhiwa kwa Jeshi hilo ili kurahisisha utendaji wao wa kazi.


Ambapo kiwa Bandarini hapo IGP Sirro amekutana na kufanya mazungumzo ya pamoja na  askari wa Jeshi hilo Kikosi cha Bandari aidha  amewataka kuhakikisha wanatimiza majukumu yao ipasavyo pamoja kwa kutenda haki ikiwa ni pamoja na kutoa huduma bora kwa wateja.

Sirro akiwa bandarini akikagua magari
Hata hivyo IGP amewataka Polisi wasaidizi wanaofanya kazi bandarini hapo kushirikiana na Jeshi la Polisi ili kuendelea kudhibiti vitendo vya kihalifu vinavyofanywa na baadhi ya watu wasio waaminifu.



No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot