Lioneil Messi |
BARCELONA,
HISPAIN
UBORA ambao Lioneil Messi amekuwa akiuonesha tokea ameanza kucheza soka, lakini mwanasoka huyo
bado ana deni kubwa kwa mashabiki wake kwani kunarekodi bado hajazivunja.
1.Mfungaji bora wa Champions League.
Lioneil Messi bado hajafanikiwa kufikia rekodi ya ufungaji ya mchezaji wa Real
Madrid Cristiano Ronaldo katika
champions League (mabao 110).
2.Mchezaji mwenye makombe mengi zaidi.
Rekodi hii sio Cristiano Ronaldo wala Lioneil Messi ambaye ameifikia, rekodi
hii anayo mkongwe wa zamani wa Manchester United Ryan Giggs
mwenye makombe 36.
3.Kuwa na makombe mengi barani Ulaya.
Rekodi hii kuna wachezaji wanne wanaoishikilia ni Dani Alves, Arie Haanna Paulo
Maldini ambao wana makombe 9 ya Ulaya.
4.Kufunga mabao mengi katika klabu moja.
Rekodi hii imekuwa ikiwahangaisha wachezaji wengi wa sasa tangu mkongwe Pelle
afunge mabao 64 katika michezo 659 Vasco Da Gama.
5.Michezo mingi Barcelona. Pamoja na
Lioneil Messi kuonekana bora akiwa na
klabu ya Barcelona lakini bado ana deni la kucheza michezo 767 katika klabu
hiyo inashoshikiliwa na Xavi Hernandez.
6.Mchezaji aliyeshinda mechi nyingi
Hispania. Iker Cassilas golikipa wa zamani wa Real Madrid ndio anashikilia
rekodi hii kwani mlinda lango huyo ameshashinda michezo 334 nchini humo.
No comments:
Post a Comment