Beka Flavour Kufanya Kolabo na Aslay - ISSRADHANS

Umoja na uzalendo

Umoja na uzalendo

Hot

Post Top Ad

Your Ad Spot

Monday, 27 November 2017

Beka Flavour Kufanya Kolabo na Aslay



Image result for beka flavour na aslay
Aslay kushoto na Beka Flavour kulia
NA MWANDISHI WETU,
MSANII wa muziki wa Bongo Flava, Beka Flavour  kutoka Tanzania  amefunguka kuhusu ujio wa wimbo kwa kufanya  kolabo yake na Aslay.

Muimbaji huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma yake mpya ‘Sarafina’ ameiambia  kituo cha televishioni hapa nchi FNL ya EATV kuwa kolabo hiyo bado haifanyika  ila muda ukifika itafanyika.

Image result for yamoto band
“Hamna bado hatuna kolabo lakini chochote kinaweza kutokea lakini siyo Aslay tu, mbona Enock watu wamuongelei?” Alimesema.

WOTE  Aslay na Beka walikuwa pamoja katika kundi la Yamoto Band ambalo kwa sasa wasanii wake wanafanya kazi kama solo.


Kundi hilo lilitamba Tanzania na nchi nyingine kwa nyimbo zaon kali na kwa mafanikio zaidi kwa kutembea na kushiriki show nyingi.  



No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot