![]() |
Klabu hiyo ipo katika nafasi ya 7 kwenye
orodha kwenye ligi ya Serie A ikiwa na pointi 20, 18 nyuma ya mabingwa Napoli,
baada ya ushindani wa ushindi mara mbili pekee wa ligi katika michuano yao ya
nyuma.
Walitoka sare ya 0-0 na Torino nyumbani
siku ya Jumapili na wameshindwa mechi zao 6 kati ya 14 msimu huu.
Gattuso, ambaye alikuwa mchezaji wa kiungo
cha kati wa AC Milan anapokea wadhifa huo kutoka kuwa msimamizi wa timu ya
wachezaji wasiozidi miaka 19 wa klabu hiyo.
![]()
AC Milan, ambao wameshinda taji hilo la
Italia mara 18 na ni mabingwa mara 7 wa Ulaya, hawajawahi kuibuka katika nafasi
tatu za juu katika ligi ya Serie A tangu 2013.
WAKIWA wametumia pauni milioni 205
kuwasajili wachezaji wapya tangu mfanyabiashara wa kichina Li Yonghong
kuidhibiti klabu hiyo Aprili mwaka jana.
|
ITALY,


No comments:
Post a Comment