NA ISSA RAMADHANI,
MPENZI
msomaji wangu karibu katika safu ya saikolojia leo, kasi ya kusalitiana kwa
wapenzi(wanandoa) wengi siku hizi imekuwa ikiongezeka kila kukicha kiasi kwamba
unapoingia katika uhusiano wa kimapenzi unahisi kama unaingia kwenye matatizo
makubwa na hii ni sababu watu siyo waaminifu kabisa kwa wapenzi wao. Unaweza
kuwa na mpenzi wako ambaye kila mnapoonana anakueleza kuwa, hawezi kukusaliti
na atakuwa na wewe katika shida na raha siku zote.
wapenzi waliogombana |
Utafit wa wanasaikolojia
umebani uhaminifu,nin silaha kubwa kwa wanandoa (wapenzi), mbali na mila
,tamaduni katika nchi au jamiina mengine.
Lakini
hivyo hivyo usishangae siku moja ukamkuta yuko na mtu mwingine. Swali la
kujiuliza ni kwamba, kwa nini wanandoa(wapenzi) wanachepuka? suluhu, hiki
ndicho nilichopanga kuzungumzia siku leo. Kwa wanandoa(wapenzi) nitaainisha baadhi ya mambo ambayo kwa
uchunguzi wangu nimebaini ndiyo yanayochangia kuchepuka kwa wanandoa (wapenzi) walio wengi kuchepuka,
wawe wako kwenye ndoa au uhusiano wa kawaida.
sababu ni hizi;
TAMAA ZA KIMWILI NA PESA
Tamaa hasa ya pesa imekuwa ikiwashawishi watu kushindwa kujizuia kuwasaliti wapenzi wao. Kwa wale ambao wako kwenye ndoa wakati mwingine hasa wanawake wasipopatiwa mahitaji yao muhimu na akatokea jamaa na kumhakikishia kwamba atampatia kila anachotaka, wanakubali mara moja bila kujua kwamba wao ni wake za watu ama wapenzi wa watu na kujikuta wanajenga mazoea. Wengine wanapatiwa kila kitu na waume zao lakini sasa kinachotokea ni tamaa za kimwili tu ambazo zinawasumbua na kujikuta wanatafuta wanaume wengine huku wakidai kuwa wanatafuta ladha tofauti.
Hili si kwa wanawake tu hata wanaume pia, unaweza kumkuta ana mwanamke bomba tu
mwenye kila kigezo, lakini bado anakuwa na tamaa za kutafuta kimwana mwingine
nje.
TABIA ZISIZORIDHISHA
Hapa wapo wale ambao wanaishi maisha ya ajabu sana, yaani wanaishi katika(ndani) ya ndoa ama wapo ndani ya uhusiano wakielekea kwenye kuoana lakini hawaaminiani kabisa, kila mtu anakuwa na wasiwasi juu ya mwenzake. Afadhali sasa iwe kutokuaminiana tu lakini hapa wapenzi wanakuwa hawasalitiani.

Kuna wale ambao ni wazi
hawatulii katika mahusiano yao, yaani matendo yao (tabia) tu yanaonesha
dhahiri kabisa kwamba, uaminifu ni
sifuri. Kuwa kari bu sana na watu
wa jinsia tofauti na tabia ya kuwa na mawasiliano nao ya siri au
mwanamke anapomuwekea mumewe vikwazo katika tendo
la ndoa chumbani (sex) anatarajia akafanye wapi na nani? Kama siyo kumwambia
akatafute wengine nje? Hii ndiyo maana wapenzi wenye tabia wanaowanyima unyumba waume zao hata wanaposikia kwamba wanasalitiwa
wanakuwa hawana nguvu ya kuwashutumu wapenzi wao, utamshutumuje wakati wewe humtimizii katika mambo flani? Si hivyo tu, kwa upandea
wa wanaume nao (baadhi )wengine wamekuwa wakiwasusa wake zao na kukaa
siku mbili au wiki na zaidi bila kuonekana nyumbani hata kama atarudi nyumbani basi usiku wa manane akiwa amelewa nawew hana mpango
kabisa wa mapenzi na mke wake,katika
mazingira hayo unadhani nini kinaweza kutokea kama siyo mwanamke kutafuta
mwanaume atakayempatia mapenzi? Na mume kuoa mkee mwengine .
KUWEPO KWA MAPENZI YA KILAGHAI(uonngo).
KUWEPO KWA MAPENZI YA KILAGHAI(uonngo).
Tunapozungumzia mapenzi tunaweza
kuyagawanya katika makundi mawili, mapenzi ya kweli na mapenzi ya
uongo. Walio katika mahusiani au mapenzi
ya kweli huwezi kuwasikia wamesalitiana. Ila wale walio katika mapenzi
ya kudanganyana tabia ya kusalitiana ni kitu
cha kawaida kwao na hivyo kujikuta kila siku wakifumaniana.
UDHAIFU KWA WAPENZI
Udhaifu ambao umezungumziwa hapa ni ule wa kimaumbile (big dick) ambao hata hivyo na wataalam wa masuala ya mapenzi wanaeleza kwamba, haiwezi kuchukuliwa kama ni miongoni mwa sababu ya kumsaliti mpenzi wako uliyempenda kwa dhati. Kwa mfano, mwanaume unakuwa ‘Functionless’ yaani jogoo hawiki (tatizo ambalo si la kujitakia) na mke wake hayuko tayari kuendelea kuwa naye hivyo kulazimika kuomba talaka. Lakini mwanaume anakuwa mgumu wa kutoa talaka kutokana na jinsi anavyompenda.
Wengi wao wanachokifanya ni kuendelea kuwa katika ndoa huku wakiangalia uwezekano wa kuanzisha au kuwa na uhusiano na mtu mwingine wa nje. Kwa wanawake nao yawezekana kuwa mwanamke hazai (tatizo ambalo si la kujitakia pia na mwanaume anahitaji mtoto, atakachokifanya ni kutoka(kuchepuka) nje ya ndoa yao kwa siri lakini pia inaweza kufikia hatua mwanamke akagundua. Kwa kifupi ni kwamba ni c hanzo, kusalitiana kwa wanandoa wengi kumekuwa kukitokea kutokana na kuwepo kwa mazingira fulani ambayo hupelekea kuwa baadhi yao wamekuwa wakishindwa kujizuia nayo na hivyo kujikuta wanatoka nje ya mahusiano yao.

SULUHISHO
Ila sasa na lazimika
kwa nguvu zote kuwashauri wale walio katika
uhusiano wa kimapenzi, namaanisha wapenzi wa kawaida, na wachumba pamoja na wanandoa, tusiwe na tamaa za kijinga na kufikia hatua ya kuwasaliti wapenzi wetu. Hivi unajisikiaje unapomvulia nguo mtu
ambaye wala hana ‘future’ na wewe? Hivi na
wewe ukifanyiwa hivyo na mpenzi wako utajisikiaje? Sasa elewa yakuwa maumivu utakayoyapata pale utakaposikia mpenzi wako ana uhusiano na Fulani
ni hayohayo atakayoyasikia mwenza (mpenzi) wako.
NI kuwa muaminifu, kuridhika na unachokipata kwake, muoneshe mapenzi ya dhati naye atafanya
hivyohivyo na wote kujikuta mnayafurahia maisha yenu. Mfano, jadilini na kutatua
matatizoyenu, kwa pamoja mipango yenu ya familia, maendeleo, hali inayoleta mapenzi yenu kuwa na furaha na kulinda ndoa.
No comments:
Post a Comment