Papy Tshishimbi akifanya vitu vyake uwanja wa Taifa mwenye jezi ya kijani. |
NA MWANDISHI WETU.
PAMOJA na
kuwepo kwa hofu juu kiungo nyota wa Klabu ya Yanga, Papy
Tshishimbi kuwa anaweza kukosa mechi kadhaa
za Ligi Kuu
Bara(EPL), taarifa za uhakika zinaeleza
anaweza kurejea mazoezini ndani ya
siku mbili.
Imeelezwa Tshishimbi kuwa mgonjwa na kinachomsumbua ni ugonjwa wa malaria.
Aidha "Hali yake imeimarika sana, Alikuwa anaumwa malaria tu lakini sasa anaweza kuanza
mazoezi," kilieleza chanzo.
No comments:
Post a Comment