MTUNZI
na mzalishaji wa filamu hapa nchini mpya ya Usijisahau, ambaye pia ni mke wa muigizaji wa muda mrefu, Issa Mussa ‘Cloud
112’, Mina Mussa ‘Mina Baby’ amesema amedhamiria kufanya mapinduzi makubwa
kwenye tasnia ya filamu za Kibongo.
Ambapo Katika mahojiano maalum na Global TV Online, Mina alisema amefikiria kuja na kazi yenye ubunifu mkubwa kuanzia kwenye utunzi wa stori, mazingira (location) na uhusika wa wasanii na kazi zingine zinakuja ukiondoa Usijisahau ambayo itaingian sokoni hivi karibuni baada ya kufanyiwa uzinduzi juzi, Jumamosi, katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar.
No comments:
Post a Comment